Bahri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bahri au "Khartoum Bahri" (Kar: الخرطوم بحري al-Khartūm Bahrī = "Khartoum ya bahari yaani mtoni") ni mji wa Sudan jirani ya Khartoum upande wa kaskazini wa Nile ya buluu. Unaitwa pia "Khartoum ya kaskazini". Hata kama ni mji wa pekee kisheria, kihalisia Bahri pamoja na miji ya Omdurman na Khartoum ni kama mji mmoja mkubwa sana unaounganishwa na madaraja kadhaa.


Bahri imekadiriwa kuwa na wakazi milioni 1.6 mwaka 2006.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads