Baldo wa Tours
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Baldo wa Tours (pia: Baudin, Baud, Baldus; alifariki 552 hivi) alikuwa askofu wa 16 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 546.
Kabla ya hapo alikuwa na cheo ikulu, mke na watoto. Alipochaguliwa aliwagawia fukara dhahabu iliyoachwa na mtangulizi wake [1].
Gregori wa Tours aliandika habari zake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads