Basili wa Antiokia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Basili wa Antiokia alikuwa Mkristo wa mji huo wa Siria, leo nchini Uturuki, anayeheshimiwa tangu kale na kukumbukwa kama mtakatifu mfiadini .

Inaonekana aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya Dola la Roma ya kabla ya mwaka 300 [1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads