Basilisa wa Nikomedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Basilisa wa Nikomedia (alifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, 309 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya kaisari Diocletian [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[2] au 16 Septemba.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads