Bernard Feringa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bernard Lucas „Ben“ Feringa (amezaliwa 18 Mei 1951) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uholanzi.


Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa 2016, pamoja na Jean-Pierre Sauvage na James Fraser Stoddart alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli[1][2][3] [4].
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads