Jean-Pierre Sauvage
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jean-Pierre Sauvage (amezaliwa 21 Oktoba, 1944) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa 2016, pamoja na James Fraser Stoddart na Bernard Feringa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli[1][2][3] [4].


Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads