James Fraser Stoddart
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
James Fraser Stoddart (24 Mei 1942 - 30 Desemba 2024) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uskoti. Alifanya kazi katika Uskoti, Uingereza, Kanada na tangu mwaka 2002 Marekani. Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa 2016, pamoja na Jean-Pierre Sauvage na Bernard Feringa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli[1][2][3] [4].


Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads