Bianori na Silvani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bianori na Silvani (walifariki katika Pisidia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo amba owaliuawa kwa kukatwa kichwa kutokana naimani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads