Bili wa Vannes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bili wa Vannes (au Bille, Bily au Bilius; alizaliwa karne ya 9 - alifariki 915/919) alikuwa askofu wa 31 wa Vannes, Bretagne (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 892 hivi hadi kifodini chake kinachosemekana kilimpata kwa mikono ya Wavikingi walipoangamiza mji huo [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads