Binti (albamu)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Binti ni jina la albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Lady Jay Dee. Albamu imetoka mwaka wa 2003. Albamu imetayarishwa na studio mbalimbali jijini za jijini Dar es Salaam. Kama kawaida ya wasanii wengi wa kipindi hiki, kunakuwa na kurudiwa nyimbo za wakati ule zilizoimbwa na wakongwe wa muziki wa dansi wa nchini Tanzania. Nyimbo hizo ni pamoja na Siwema ya Marijani Rajabu.[1] Albamu iliyopita alirudia wimbo wa Shida wa Mbarak Mwinshehe.[2]
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- Usiuseme moyo
- Siri yangu
- Mwanionaje?
- Mawazo (feat. Mwanafalsafa)
- Wanaume kama mabinti (feat. AY) link
- Boyfriend wa D'Salaam link
- Kifo
- Binti link
- Zaina
- Muhogo wa Jang'ombe link
- Siwema link
- Machozi (remix)
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads