Baisani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Baisani (kutoka Kiing.: bison, Kisayansi: Bison) ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Amerika na Ulaya wanaofanana na ng'ombe.
Remove ads
Spishi
- Bison bison, Baisani wa Amerika (American Bison)
- Bison b. athabascae, Baisani-misitu (Wood bison)
- Bion b. bison, Baisani-nyika (Plains bison)
- Bison bonasus, Baisani wa Ulaya (Wisent)
- Bison b. bonasus, Baisani wa Uwanda wa Chini (Lowland wisent)
- †Bison b. caucasicus, Baisani wa Kaukasia (Caucasian wisent) - imekwisha sasa (1927)
- †Bison b. hungarorum, Basiani wa Karpati (Carpathian wisent) - imekwisha sasa (1852)
Remove ads
Spishi za kabla ya historia
- †Bison antiquus (Ancient Bison)
- †Bison latifrons (Giant Bison)
- †Bison occidentalis (Bison occidentalis)
- †Bison priscus (Steppe Wisent)
Picha
- Jike na ndama wa baisani wa Amerika
- Baisani wa Ulaya
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baisani kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads