Bovinae
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bovinae ni nusufamilia kubwa katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na ng'ombe. Nusufamilia hii ina jenasi kumi ndani yake:
Remove ads
Jenasi
- Bison (Baisani)
- Bos (Ng'ombe)
- Boselaphus (Nilgai)
- Bubalus (Nyati-maji)
- Pseudonovibos (Kting Voar) – imekabiliwa, labda haipo
- Pseudoryx (Saola)
- Syncerus (Nyati wa Afrika)
- Taurotragus (Pofu)
- Tetracerus (Kulungu pembe-nne)
- Tragelaphus (Tandala)
Picha
- Baisani wa Amerika
- Ng'ombe wa Ulaya
- Nilgai
- Nyati-maji na ndama
- Saola
- Nyati wa Afrika
- Pofu
- Kulungu pembe-nne
- Tandala
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads