Blasi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Blasi (kwa Kiarmenia: Վլասի, Vlasi; kwa Kigiriki Βλάσιος, Blasios) alikuwa mganga na askofu wa Sebaste katika Armenia ya Kale (leo Sivas, Uturuki).

Aliuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo mwaka 316 katika dhuluma ya kaisari Licinius[1].
Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa na Ukristo wa magharibi tarehe 3 Februari[2], kumbe mashariki tarehe 11 Februari.[3]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads