3 Februari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 3 Februari ni siku ya thelathini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 331 (332 katika miaka mirefu).
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1795 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-1828)
- 1809 - Felix Mendelssohn, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1907 - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 1951 - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso
- 1982 - Isha Ramadhani, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1990 - Sean Kingston, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki
- 865 - Ansgar Mtakatifu, Askofu wa Hamburg
- 1709 - Mtakatifu Nikolasi Saggio wa Longobardi, mtawa wa shirika la Waminimi kutoka Italia
- 1924 - Woodrow Wilson, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Blasi, Ansgari, Simeoni wa Yerusalemu, Ana wa Yerusalemu, Selerino na wenzake, Leonio wa Poitiers, Teridi na Remedi, Lupisino wa Lyon, Adelino wa Celles, Werburga, Berlinda, Klaudina Thevenet, Maria Rivier n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 4 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads