Brito
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Brito (alifariki 386) alikuwa askofu wa mji huo[1][2][3] wa Galia, leo nchini Ujerumani) kuanzia mwaka 374 hadi kifo chake.

Kama watangulizi wake alipigania imani sahihi; alisimama dhidi ya Waprisiliani lakini alijitahidi bure, pamoja na Ambrosi na Hilari wa Poitiers, kuzuia wasiwaue na watu wakatili [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads