Bububu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bububu ni kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi A katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,646 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13.127 waishio humo. [2]

Jina "Bububu" limetokana na sauti ya reli ya kwanza ya Unguja iliyojengwa hapa mnamo mwaka 1905.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads