Unguja

From Wikipedia, the free encyclopedia

Unguja
Remove ads

Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi mkabala wa mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Dar es Salaam.

Thumb
Ramani ya Unguja

Unguja ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa la Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Unguja ina eneo la takriban km² 1.658 ikiwa na wakazi 869,721 (2012).

Mji mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani ya magharibi mkabala wa bara.

Kisiwani Unguja kuna mikoa mitatu kati ya mikoa 31 ya Tanzania ambayo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads