Cagliari
manispaa ya Italia, mji mkuu wa jiji kuu la jina moja na Mkoa wa Autonomous wa Sardinia. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cagliari ni mji wa Italia katika mkoa wa Sardinia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2016, mji una wakazi wapatao 154,460 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 4 juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads