Calicut
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kozhikode (pia Calicut) ni mji wa Jimbo la Kerala katika kusini ya Uhindi. Kozhikode ni mji mkubwa wa tatu wa Kerala. Rundiko la Jiji lina wakazi 2,030,519 (sensa 2011).[1]


Mji uko takribani km 380 upande wa kaskazini wa mji mkuu wa Kerala, Thiruvananthapuram.
Mji una bandari asilia iliyokuwa tangu karne nyingi kimoja cha vitovu vya biashara ya viungo na nchi za nje. Hivyo Calicut ilikuwa bandari ya kwanza iliyyofikiwa na Wareno baada ya Vasco da Gama kuzunguka Afrika mnamo 1498.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads