Cameron Diaz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cameron Michelle Diaz (amezaliwa tar. 30 Agosti 1972) ni mwigizaji filamu wa Kimarekani. Mnamo mwezi Agosti, 2008, Gazeti la Forbes limemworodhesha Diaz kuwa kama mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi katika Hollywood.
Ameripotiwa kupokea kiasi cha dola za Kimarekani zipatazo milioni 50 katika kipindi cha mwishoni mwa mwezi Juni 2008, kwa kucheza katika filamu ya What Happens in Vegas na katika mfululizo wa tatu wa filamu ya Shrek.[1][2][3][4][5]
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
Diaz alizaliwa San Diego, California, binti wa Billie, Wakala wa kuuza na kununua kutoka nchi za nje na Emilio Diaz (1949 - 2008) ambaye alifanya kazi kampuni ya mafuta UNOCAL kwa miaka ishirini na zaidi mpaka alipostaafu mwaka 1998. Baba yake alikuwa Coban American. Babu na Bibi yake waliishi Tampa's Ybor City. Mama yake anajua kuongea Kiingereza na KIjerumani. Diaz ana dada yake mkubwa aitwaye Chimene Diaz ambaye alizaliwa 5 Juni 1970, San Diego.
Remove ads
Filamu alizocheza
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads