Capulo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Capulo ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Bengo.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 13,157[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads