Carl Weathers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Carl Weathers (amezaliwa New Orleans, Louisiana, 14 Januari 1948) ni mwigizaji wa filamu na ni mchezaji mpira wa miguu wa zamani wa Marekani-Kanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Apollo Creed alilotumia katika mfululizo wa filamu ya The Rocky aliyocheza na nyota maarufu wa filamu Sylvester Stallone.


Maisha ya awali
Weathers alipata elimu yake katika shule ya St. Augustine High School na baada ya hapo alielekea katika Chuo Kikuu cha San Diego.
Nje ya masuala ya uigizaji, Weathers vilevile ni mwanachama wa Big Brothers na ni mmoja wa wanakamati ya Olympic ya Marekani. Mnamo mwezi wa Aprili ya mwaka wa 2007, Carl amemwoa Jennifer Peterson, mwandaaji wa maandishi.
Filamu alizoigiza
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Weathers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads