Caxito

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Caxito ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Bengo. Ndio makao makuu ya mkoa huo

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 55,000[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads