Cecil David Mwambe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cecil David Mwambe ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM alipohamia kutoka CHADEMA.
Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ndanda kwa miaka 2015 – 2020. Baada ya kuhamia CCM alichaguliwa tena kuongoza jimbo hilo kwa mwaka 2020-2025. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads