Mkeshamsitu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkeshamsitu
Remove ads

Mikeshamsitu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Turdidae. Spishi za Afrika zinafanana na chati na zina rangi ya kahawa mgongoni na nyeupe chini. Spishi za Asia zina rangi kali zaidi. Mwenendo wa ndege hawa ni kama ule wa mikesha. Wanatokea misitu ya majimaji ya Afrika na Asia, pengine milimani. Hula wadudu hasa na matunda pia. Hulijenga tago lao kwa vigoga, vijiti na mizizi katika mti. Jike huyataga mayai 3-5.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads