Chimbalanzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chimbalanzi (pia Chimbalazi au Chimwiini) ni lahaja ya Kiswahili, inayozungumzwa kusini mwa Somalia, hasa katika eneo la Baraawe. Inahesabiwa kati ya lahaja za kaskazini za Kiswahili.[1]

Lahaja hii iko katika hatari ya kufa kwa sababu kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia, wenyeji wengi wameondoka kwao na kutawanyika kote duniani.[2]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads