Chipsi mayai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chipsi mayai ni chakula ambacho hupikwa kwa mchanganyiko wa viazi vilivyokatwa vipandevipande vilivyokaangwa kwa mafuta pamoja na mayai. Kwa jina jingine hujulikana kama Zege na ina aina zaidi ya moja ya kuipika.[1]

Chakula hiki unaweza kukikuta katika maduka ya chipsi pamoja na aina nyingine za chipsi kama chipsi kavu n.k.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads