Chris Brown (albamu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chris Brown (albamu)
Remove ads

Chris Brown ni albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa R&B-Kimarekani Chris Brown. Kama ilivyo kwa wasanii wengi wa Marekani, yaani, jina la msanii ndiyo jina la albamu - hasa za kwanza huwa wanatoa jina lao. Albamu ilitolewa mnamo 29 Novemba 2005 nchini Marekani kupitia studio Jive Records. Ilipata mafanikio makubwa kabisa kibiashara na kutunukiwa platinamu mbili mfululizo na Recording Industry Association of America (RIAA) kwa kufanya vizuri kwa Marekani na kuuza nakala milioni 3 kwa hesabu ya dunia nzima.

Ukweli wa haraka Studio album ya, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Toleo la kawaida

  1. "Intro" (Chris Brown, E. Clement) nandash; 0:56
  2. "Run It!" akishirikiana na Juelz Santana Imetayarishwa na Scott Storch(S. Garrett, S. Storch, L. James) nandash; 3:49
  3. "Yo (Excuse Me Miss)" (A. Harris, V. Davis, J. Austin) nandash; 3:49
  4. "Young Love" (K. Hilson, J. Que, V. Barrett, A. Dixon, B. Elli, H. Mason Jr., D. Thomas) nandash; 3:38
  5. "Gimme That" (S. Garrett, S. Storch) nandash; 3:06
  6. "Ya Man Ain't Me" (E. Dawkins, A. Dixon, H. Mason Jr., S. Russell, D. Thomas, Tank) nandash; 3:34
  7. "Winner" (C. Brown, B. M. Cox, K. Dean, A. Shropshire) nandash; 4:04
  8. "Ain't No Way (You Won't Love Me)" (W. Felder, S. Garrett, F. Zhang) nandash; 3:23
  9. "What's My Name" akishirikiana na Noah (C. Brown, A. Lyon, M. Valenzano) nandash; 3:52
  10. "Is This Love" (E. Dawkins, A. Dixon, H. Mason Jr., S. Russell, D. Thomas) nandash; 3:17
  11. "Poppin'" (A. Harris, V. Davis, J. Austin) nandash; 4:25
  12. "Just Fine" (C. Brown, D. Glass, P. Zora, M. Winans, S. Lawrence) nandash; 3:52
  13. "Say Goodbye" (B. M. Cox, K. Dean, A. Shropshire) nandash; 4:49
  14. "Run It! [Remix]" akishirikiana na Bow Wow na Jermaine Dupri (J. Dupri, S. Garrett/, S. Moss, S. Storch) nandash; 4:04
  15. "Thank You" (C. Brown, L. Flemming, S. Taylor, T. Davis) nandash; 4:26

Nyimbo za ziada

  1. "Gimme That [Remix]" akishirikiana na Lil Wayne (S. Garrett, S. Storch, D. Carter) 3:56

Kimataifa (nje ya Amerika ya Kaskazini)

  1. "So Glad" (C. Brown, B. Gordy, I. Barias, C. Haggin, D. Lussier, A. Mizel F. Perren, Shaffer Smith) nandash; 2:57
  2. "Thank You" nandash; 4:49
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2005), Nafasi iliyoshika ...
Remove ads

Historia ya kutolewa

Maelezo zaidi Nchi, Tarehe ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads