Chuo Kikuu cha California

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chuo Kikuu cha California
Remove ads

Chuo Kikuu cha California (University of California - UC) ni mfumo wa elimu unaounganisha vyuo vikuu vilivyo chini ya jimbo la California, Marekani.

Thumb
Rangi au Muhuri wa Chuo Kikuu cha California 1868.
Thumb
Ofisi ya Rais wa Chuo Kikuu cha California huko Oakland, California.

Mfumo wote wa Chuo Kikuu cha California huwa na wanafunzi zaidi ya 220,000 na walimu pamoja na wafanyakazi wengine zaidi ya 170,000[1]

Chuo kilianzishwa mnamo 1868 kwenye kampasi ya kwanza mjini Berkeley.

Remove ads

Kampasi

  • Chuo Kikuu cha California, Berkeley
  • Chuo Kikuu cha California, Davis
  • Chuo Kikuu cha California, Irvine
  • Chuo Kikuu cha California, Los Angeles
  • Chuo Kikuu cha California, Merced
  • Chuo Kikuu cha California, Riverside
  • Chuo Kikuu cha California, San Diego
  • Chuo Kikuu cha California, San Francisco
  • Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara
  • Chuo Kikuu cha California, Santa Cruz
  • Chuo Kikuu cha California, Chuo cha Sheria cha Hastings kinasimamiwa kando na mfumo wote wa UC.
Remove ads

Tovuti nyingine

Vidokezo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads