Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana katika jiji la Mbeya, Tanzania.[1][2]

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya zamani kilijulikana kama chuo cha ufundi Mbeya.

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads