Robati wa Molesme
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Robati wa Molesme (Troyes, Champagne, Ufaransa, 1028 - Molesme, Ufaransa, 17 Aprili 1111) alikuwa mmonaki[1], padri, abati na mwanzilishi wa monasteri mbalimbali wa shirika la Benedikto wa Nursia na vilevile kiongozi wa wakaapweke wengi.
Katika juhudi zake kwa ajili ya maisha ya kimonaki manyofu na magumu zaidi, hatimaye alianzisha urekebisho muhimu wa Citeaux [2][3].
Alitangazwa na Papa Honori III kuwa mtakatifu mwaka 1222.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads