Cornwall

From Wikipedia, the free encyclopedia

Cornwall

Cornwall (kwa Kikornishi: Kernow, matamshi: ˈkɛrnɔʊ) ni kaunti ya Uingereza kusini magharibi.

Thumb
Truro, Cornwall

Eneo lake ni la Km² 3,562.

Wakazi ni 563,600[1][2].

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.