Dalaly Peter Kafumu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dalaly Peter Kafumu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Igunga kwa miaka 2011 – 2020. [1]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads