Igunga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Igunga ni kata iliyo makao makuu ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania, yenye postikodi namba 45601.
Remove ads

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 82,768 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 51,172 waishio humo.[2]
Igunga ni kati ya maeneo ambako imani ya ushirikina inaleta matatizo ya mauaji ya kiholela ya watu wanaoshukiwa kuwa wachawi.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads