Danakte
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Danakte (au Dana, Dano tu; aliishi karne ya 9) alikuwa shemasi kutoka Valona (Albania) ambaye alitoa huduma katika wilaya ya Lecce, Italia kusini, akauawa na Waislamu waliovamia eneo hilo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads