Daniel Ortega
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jose Daniel Ortega Saavedra (amezaliwa 11 Novemba 1945) ni mwanasiasa wa Nikaragua. Ni rais wa Nikaragua tokea mwaka 2007[1]. Pia alitumikia kama rais kuanzia mwaka 1979 mpaka 1990. Mnamo Novemba 2021, Daniel Ortega, alichaguliwa tena kwa muhula wa nne wa miaka mitano na 75% ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyotolewa na Baraza Kuu la Uchaguzi.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads