Daudi Uribe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Daudi Uribe
Remove ads

Daudi Uribe (jina kamili kwa Kihispania David Uribe Velasco; Buenavista de Cuellar, Guerrero, Mexico, 29 Desemba 1889 - San José Vidal, Chilpancinga, 12 Aprili 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero huku akisamehe wote[1].

Thumb
Daudi Uribe


Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe 12 Aprili[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads