Deklan wa Ardmore

From Wikipedia, the free encyclopedia

Deklan wa Ardmore
Remove ads

Deklan wa Ardmore (kwa Kieire Declán mac Eircc; pia Declan Noyes) alikuwa Mkristo wa Eire katika karne ya 5.

Thumb
Kanisa la Mt. Deklan, Ardmore.

Pamoja na kufanya umisionari, alianzisha monasteri ya Ardmore (Ard Mór)[1] akawa askofu wa kwanza wa eneo hilo [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Julai[3].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo vikuu

Vyanzo vingine

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads