Dimfna

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dimfna
Remove ads

Dimfna (pia: Dymphna, Dympna, Dimpna, Dymphnart, Damnat; Geel, Ubelgiji, karne ya 7) alikuwa msichana Mkristo wa Ireland ambaye baba yake mpagani, mfalme Damon wa Oriel, alimkata kichwa kwa sababu alikataa kuolewa naye baada ya kifo cha mama yake[1].

Thumb
Kukatwa kichwa kwa Mt. Dymphna, mchoro wa Godfried Maes.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[2] na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Mei[4] au 15 Mei.

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads