Dioskoro wa Qais

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Dioskoro wa Qais (alifia dini Aleksandria, Misri, 305 hivi) alikuwa Mkristo wa Qais, Misri, mtoto wa msomaji.

Baada ya kukaa muda mrefu gerezani na kuteswa kwa namba mbalimbali kwa ajili ya imani yake, alikatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Mei[2] au 13 Oktoba.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads