Dj Ben

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dj Ben
Remove ads

"DJ Ben" ni jina la filamu iliyotoka 2011 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Wema Sepetu, Irene Uwoya na Jacob Stephen (JB) aliyecheza kama DJ Ben. Filamu imeongozwa na JB na kutayarishwa na Jerusalem Film na Steps Entertainment.

Ukweli wa haraka Imeongozwa na, Imetayarishwa na ...
Remove ads

Hadithi

Filamu inaelezea usaliti kuhusu DJ Ben ambaye alikuwa mtu wa kusafiri sana kuelekea mahali alipofungua kumbi za disko. Katika mihangaiko yake anakutana na msichana mrembo anayefanya kazi hotelini aliyeitwa Samiha (Irene Uwoya) na kujenga uhusiano. Uhusiano huu uliyekaribia kuachanisha ndoa ya Ben na mkewe (Wema Sepetu) lakini mwishowe Samiha anamtaka radhi Wema na Ben anaamua kutulia na mkewe.[1]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads