Domisiani wa Bebron
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Domisiani wa Bebron (pia: wa Bugey; Roma, Italia, 347 hivi - Bugey, leo nchini Ufaransa, 1 Julai 440) alikuwa mmonaki hadi kifo chake katika monasteri aliyoianzisha kwa wale wengi waliomfuata katika makao yake ya upwekeni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads