Don
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Don ni mto muhimu wa Urusi; una urefu wa kilometa 1,870.


Chanzo chake kipo kwenye mji wa Novomoskovsk upande wa kusini mashariki wa Moskva.
Unaendelea kati ya mito Dnepr na Volga hadi kuishia katika Bahari ya Azov ambayo ni sehemu ya Bahari Nyeusi.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Don kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads