Don't Stop 'til You Get Enough

From Wikipedia, the free encyclopedia

Don't Stop 'til You Get Enough
Remove ads

"Don't Stop 'til You Get Enough" ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya mwezi wa Julai 1979, Off the Wall iliofanywa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Jackson, huu ndiyo wimbo kwanza kutunga mwenyewe tangu aanze kuwa msanii wa kujitegemea na ndiyo wimbo wa kwanza kutolewa akiwa chini ya studio ya Epic Records.

Ukweli wa haraka B-side, Imetolewa ...

Huu ndiyo wimbo wa kwanza kwa Jackson kushika chati kibao kwa muda wa miaka saba kwa U.S., wimbo umetunukiwa dhahabu muda mfupi baada ya kutolewa. Wimbo pia umeshinda Tuzo ya Grammy na American Music Awards, na kuufanya uwe wimbo wa kwanza kwa Michael kushinda tuzo hizo. Wimbo umepata kufahamika sana kwa utunzi wake, pia unafikirika kuwa kama wimbo wa kwanza wa Jackson kuonyesha kipaji chake, akiwa kama mtunzi wa nyimbo na mwimbaji.

Remove ads

Muziki wa video

Thumb
Jackson kwenye seti ya muziki wa video wa "Don't Stop 'til You Get Enough".

Muziki wa video wa "Don’t Stop 'til You Get Enough" uliongozwa na kutayarishwa na Nick Saxton na kuanza kurushwa hewani kuanzia mwezi wa Oktoba 1979. Huu ndiyo wimbo wa kwanza wa video wa Michael Jackson akiwa kama msanii wa kujitegemea. Wimboni, anaonekana Jackson akitoa tabasamu kali na kwa nyuma kuna mataa ya disco yakimulika na yeye anatoa maujanja yake huku akiwa amevaa suti nyeusi nzuri ya kupendeza. Akiwa jukwaani, Jackson anakuja kuoeneka wakiwa watatu, hali ambayo ilionekana kuwa ni uvumbuzi wa hali ya juu kwa kipindi hicho.

Remove ads

Chati zake

Maelezo zaidi Chati (1979), Nafasi Iliyoshika ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

US promo single

  1. "Don't Stop 'til You Get Enough" (Toleo Fupi) – 3:55
  2. "Don't Stop 'til You Get Enough" (Toleo Refu) - 5:45

US/UK single

  1. "Don't Stop 'til You Get Enough" (Toleo Refu) – 5:45
  2. "I Can't Help It" – 4:29

Maelezo

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads