Rock with You
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Rock with You" ni wimbo uliotolewa kunako tar. 3 Novemba 1979, ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson, Off the Wall. Wimbo ulitungwa na mmoja kati ya wanachama wa bendi ya Heatwave Rod Temperton, na kupelekea kumsaidia Jackson uwe wimbo kwanza na bora katika miaka ya 1980. Ripoti hizo zilitolewa na gazeti la Billboard.
Wimbo ulishika nafasi ya kwanza katika chati za muziki wa pop na R&B na kuwa miongoni mwa single za Jackson zilizopendwa zaidi. Muziki wa video wa wimbo huu unamwonyesha Jackson akiwa kwenye tabasamu zuuri huku akiwa amevaa suti ya kumelemeta na picha za mataa ya kung'aa kwa nyuma. Kwa mujibu wa Billboard, wimbo huu ulikuwa wa nne kwa ubora katika miaka ya 1980.[1]
Remove ads
Chati
Remove ads
Orodha ya nyimbo
UK single
- "Rock with You" - 3:20
- "Get on the Floor" - 4:57
U.S. single
- "Rock with You" - 3:20
- "Working Day and Night" - 5:04
Visionary single
- CD side
- "Rock with You" (7" edit) - 3:23
- "Rock with You" (Masters at Work Remix) - 5:33
- Upande wa DVD
- "Rock with You" (muziki wa video)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads