Doro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Doro (karne ya 4 hivi - karne ya 5 hivi) alikuwa askofu wa Benevento, mji wa Italia Kusini [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads