Droside
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Droside au Anisia (alifariki karne ya 3 au ya 4) alikuwa mwanamke wa Antiokia ya Syria (leo nchini Uturuki) aliyefia dini ya Ukristo kwa kuchomwa moto kama alivyohubiri Yohane Krisostomo[1].
Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2] au siku nyingine kadiri ya madhehebu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads