Dula

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Dula (alifariki Nikomedia, mkoa wa Bitinia, leo Izmit, nchini Uturuki) alikuwa Mkristo wa Dola la Roma aliyeuawa kwa ajili ya imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Machi.[2]

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads