Dully Sykes

msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Abdul Sykes (alizaliwa 4 Desemba, 1980),[1] ni mwanamuziki wa Tanzania. Anakadiriwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa mwanzo wa muziki wa kizazi kipya Tanzania maarufu kama Bongo Flava.

Ukweli wa haraka Jina la kuzaliwa, Pia anajulikana kama ...
Remove ads

Wasifu

Dully Sykes kama anavyojulikana kwa majina, Mr. Chicks au Mr. Misifa Ni mjukuu wa Abdulwahid Sykes, mwanaharakati wa kudai uhuru wa Tanganyika. Sykes anajulikana kwa nyimbo zake maarufu zinatokana na matukio ya kweli kama Historia ya Kweli, Julieta, Leah, na Salome. Kufuatia kutolewa kwa albamu yake ya kwanza, Historia ya kweli, mwaka wa 2003.Sykes ameendelea kubaki katika chati za juu za muziki wa Tanzania akishirikiana na wasanii wakubwa wa muziki kutokea nchini Tanzania kama Harmonize na Marioo

Remove ads

Kili Music Awards

Hizi ni tuzo alizoshiriki au kupokea kutoka Kili Music Awards katika misimu tofauti[2].

Maelezo zaidi Mwaka, Mteule / kazi ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads