Dulsidi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Dulsidi (pia: Dulcidius, Dulcidus, Dulcius, Dulcide, Doucet, Doucis, Doux, Dulcet; karne ya 4 - karne ya 5) alikuwa askofu wa Agen, leo nchini Ufaransa, baada ya Febadi[1].

Kama huyo, yeye pia ni maarufu kwa msimamo wake katika imani sahihi akilinda waamini dhidi ya uzushi[2].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads